Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Elimu za Kufundisha Kukariri na Kuigizia

>> Sunday, August 05, 2007

Kabla sijasema...
Samahani nimemkumbuka mama , ngojea Banana Zoro anisaidie kusema....

Ingawa binadamu hujifunza kwa kuigiza,bado nazani hakuna sababu ya kuendekeza elimu itufundishayo kukariri na kuigiza bila kutujenga kufanya yale ambayo tuyawezayo na yajengayo .Naamini karibu kila mtu anauwezo wakufanya kitu kizuri kivyake kama hajakaririshwa.
Duh!
Kuigiza hata yale tusiojua au kuelewa ni sanaa fulani lakini!
Swali:
Unakumbuka kukariri maswala fulani ambayo hata hayana umuhimu kwako kabla ya mtihani?

Duh!
Pumzika kidogo na Apache Indian

Picha kidogo za jana ambazo nahisi nilikuwa pale mama aliponikataza kuwa...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
MadIce akitutumbuiza
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Allen
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Abdulkarim
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Edo akishangaa kitu...:-)
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Tompura aka BassMan.Nilisahau kuwa ilikuwa birthday yako
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Magonella
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ben
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Erick kazini
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Raymond aka Mkuu wa kikao, David, na ...
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Najua ushachoka kuangalia picha ngojea niseme....

Nakuacha na Vince Black...

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 12:27 pm  

Mzee Simon naamini wengine tutashindwa kutoa maoni kwasababu naona umebadilisha lugha,au ndio mabadiliko yanaanza labda unataka kublogu kwa kifinish.

Simon Kitururu 2:28 pm  

@Rasta:Duh!

Unknown 10:17 pm  

heshima yakooo sanaaa
simon K' leo nimepita tena
kijijini kwako hapaaaa
mambo ni safiiii, nimeona pichaa
za marafiki zangu amabao nilisoma nao makongo...
kaza buti mkubwaaaa
kwani kazi yakoo safiii

Simon Kitururu 11:43 pm  

@Haki:Karibu sana Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP