UKIWA MVIVU KULIMA HALAFU UNASIKIA NJAA HARAKA!
>> Friday, August 31, 2007
Kama husikii njaa , huhitaji chakula!
Tatizo ni kama mvivu kutafuta chakula halafu unasikia njaa haraka!
Swali:
- Si kuna utamu wa kula vya bure ndio maana watu kibao wanapenda vya bure?
- Hivi kuna kitu cha bure?
Msikilize Tone Loc utagundua hata ukitumia kale kakitu unaweza kutoka bure....
JICHUNGE!
 
  
 Posts
Posts
 
 




0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment