Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UNAJUA UNA SEHEMU ZA SIRI?

>> Sunday, August 19, 2007

Kuna watu hupenda kujua zaidi na zaidi kuhusu watu wengine.
Kuna watu hatusemi mengi kuhusu sisi .
Kuna watu tunasema lakini hatusemi.
Swali:
Unajua ni asilimia fulani tu , kwa mtu anayesema anajijua, ni kweli anajijua?
Wewe unajijua?

DUH!
Mpate Mzee Doudou wa Guadeloupe....akifanya vitu katika kile kiwanja cha FUCKLY wakati ukijiunga katika mawazo.USINITUKANE LAKINI!:-)

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 3:42 pm  

Mzee Katibu,sehemu za siri zitaje,mbona tunasema kidole,mguu,macho,meno,shingo sasa hizo sehemu za siri zikowapi?zitaje.

Mzee Katibu,naomba kuuliza,
hivi binadamu anaponunua kiwembe na kwenda kujifungia chumbani na kuanza kusafisha sehemu zake za siri huwa anawaza nini.Mbona kucha tunakatia sebuleni hatuogopi?

Simon Kitururu 5:03 pm  

@Rasta:Nafikiri tunaongelea sehemu mbili tofauti ingawa tunaongelea sentensi sawa. Ukifikiria zaidi unaweza kunidaka maana yangu ya sehemu za siri. Ila sehemu moja ya siri uliyoilenga umeipatia.

luihamu 6:12 pm  

Duh!majibu yako yanafanana na Serina kabisa.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP