Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

CHEE, BIN Laden, MANDela, NYERERE,,,kashoda......na...

>> Saturday, August 04, 2007

Kuna watu fulani ambao wanatengenezwa sasa kwa majina ya baba,mama,shemeji zao. Akina watoto wa wawakubwa na....... lakini kuna hawa watu ambao tukonao ambao kutokana na familia zao tume....

Kuna watu wanaweza kubisha, kufanya, kufanywa.............!
DUH!
Sio kufanywa ki....!:-)

Wenye kitu fulani walio wengi, wana kianzio...na!.......

Swali:
Unabisha?

Nyerere anatokea kwenye U chifu.
Fideli Kastro , Bin Laden na ...wanatokea....
Che, KIBAKI, ......Ngugi.....na ....Athumani.....U,,, Udakitari...
Zubeda....
Dondoo:
Kila mtu anaweza kuanza au kianzio.
SISI SI ndio msingi ingawa chobisi noma?
Hivi chobisi noma eeh?

Kianzio mara nyingi ni muhimu ingawa watu wengine wana jifanya kuwa au wanataka watu waamini kuwa..........
Duh!
SIKU NJEMA!

Tuko Pamoja!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP