Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Demokrasia ya Bongo!:-(

>> Sunday, August 26, 2007

Wakubwa wana haki!
Wanyonge wanatafuta haki ingawa hakuna uhakika kuwa mnyonge anapata haki.

Lakini.....
Unakumbuka kuwa wakubwa waliwahi kuwa wadogo wasio na haki hata ya kukaa sana usiku au kujichanganya katika kijiwe bila kufukuzwa?
Swali:

  • Hivi historia inatufunza nini?
  • Hivi si bado yule dogo unamfukuza kidizaini?
  • Ukipata nguvu utaruhusu kusogelewa?
  • Wakati unanguvu unasogelewa?

DUH!

Mpate Lagbaja


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 12:57 pm  

hii mada ni ya kweli Thinker

Simon Kitururu 6:16 pm  

@Aliko:Hii demokrasia ,DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP