Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KESHO!

>> Friday, August 24, 2007

Kabla sijasema...
Mpate Mighty Sparrow


Umeanza Juzi eeh?
Lakini hivi unakumbuka kuwa hizi juzi ni siku tu?
Au..

  • Jana
  • leo
  • Kesho
  • Mtondogoo
Si zote siku tuuu?

Tatizo linakuja pale kuwa kila siku ifikapo , inamaana siku moja ya maisha yetu tukiwa hai imepita:-(

Sasaaa...
Jana nahisi uliipitisha vizuri.
mimi duh!
Ngojea lakini nikupe picha za siku ya kumuaga Allen....
Lakini nimestukia kunawatu dunia ya chobisi fulani mtakuwa mnawaza kwanini kuna picha fulani naziweka wakati hazioani na juzi wala jana yenu.
Duh!
Vumilia basi wakati wengine tuki......

Tulia na Chris Isaak
Nimetumia Blinds katika Filmloop, kwa hiyo subiria pazia lipite upate picha inayofuata.....


Powered by www.myfabrik.com

Uncle/Allen konekshen
Powered by www.myfabrik.com

Aliko/Abdul konekshen
Powered by www.myfabrik.com

T.I/Chacha/David konekshen. Byamungu siunaona mpaka T.I hakunitenga, wewe tu ndio unaendeleza kunitenga:-)
Powered by www.myfabrik.com

Simon Kitururu konekishe...
DUH! najua nawazingua watu fulani ....!Ngojea nnichanganye basi washikaji zaidi waliokuwepo.Usisikitike usipotekea lakini.Tuko Pamoja
Powered by www.myfabrik.com

Washikaji zangu kisawasawa. Deo na Said sijui mlipotelea wapi lakini:-)!
SIKU NJEMA!
Basi wadau zangu , ngojea ni waache na Jack Radics akiwa na Chaka Demus na Pliers

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 1:20 pm  

aisee unaona hii mambo kampuni..duh si mchezo aluuu goodbye Allen aka Mbunge.

Simon Kitururu 5:54 pm  

@Aliko:Siutani!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP