Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika Majaribio!

>> Tuesday, August 07, 2007

Usitishike!
Najaribu tu Filmloop kama alivyonishauri Maricha hapo chini kwenye komenti.
Sema basi kama poa au la!Ni picha tu mchanganyiko, zangu na marafiki.

Powered by www.myfabrik.com

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:38 pm  

Film loop ni murwa kabisa...lakini mziki nao? you tube usitupilie mbali.

Rundugai 2:45 pm  

tupeni darasa basi inapatikanaje hiyo wakuu

Simon Kitururu 2:48 pm  

@Serina:Siitupilii mbali
@Chediel: Hata mimi nimeipata baada ya kustuliwa na Maricha kwenye komenti ya kwenye post hiyo hapo chini.Cheki hapa: http://filmloop.myfabrik.com/

Aliko 4:18 pm  

pouwaa film floop

KakaTrio 4:46 pm  

Simon, samahani sikuwahi kurudi hapa kuangalia kama ulikuwa umejaribu filmloop. Inaonekana pouwa sana na kwa kweli kama nilivosema mwanzo am loving it. Naona wadau wangine hapo juu pia wameifurahia.

Asante kaka kwa kuipa jicho na kutupa picha zingi kwa pamoja.

Simon Kitururu 7:24 pm  

@Maricha:Asante kwa kunistua kuhusu hii kitu!

KakaTrio 8:39 pm  

Haina noma kaka Simon mie mdau wako wa kudumu hapa kwa hio nafurahia unatusikiliza wadau wako na sisi tunainjoi vitu vyako kaka. Endeleza kazi nzuri ya kutukaribisha buloguni kwako kwa update za kila siku.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP