Chifu Fundikira Afariki(1921-2007)!
>> Tuesday, August 07, 2007
 Naona kizazi cha viongozi fulani wakongwe wa TZ  kinaendelea kututoka. Akina Chifu Fundikira  walijaribu ingawa wanaweza kukosolewa kwa mapungufu, lakini kizazi kipya cha viongozi wa TZ bado hakijatuonye maajabu yake:-(

(Picha na IPPMEDIA)
Chifu R.I.P!
 
 Posts
Posts
 
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
RIP
Rest in Peace Chief Fundikira.
Post a Comment