ASHKI za kufagilia WAJIAMINIAO hata kama sio tu na ki-NYEGE MSHINDO Tanzania....
>> Wednesday, March 28, 2012
.....hasa ambao LABDA ndio twawageuza kuwa eti ndio WAJANJA kiheshima KUHESHIMIWA hata ki- PUA ni MAKAMASI hadharani hata kama ni kwa kuyaficha na LESO!:-(
TUENDELEE na tetesi zenye kibiongo kiwazo:
HADHARANI hata kindani ya TANZANIA,...
....labda hata ASHKI zisizohitaji SIRI,...
..... siku hizi TANZANIA tumezigeuza kuwa siri hata kwa visingizio hata vya UKUBWA , udini,
.... au tu hata KWA WATU kujaribu kujisingizia UJEMEDARI wa kushikilia tu HOVYO!!
Swali:
- Si labda kuna uwezekano kuna wafagiliao ambao wanaaminika wana KIBEZI kwa ambayo HATA unayapenda ila HATA ki-WEWE labda -kisa UNASAUTI NYEMBAMBA katika hilo- na ni kuwa huna nguvu hata ya kuyapengea kamasi hadharani HAYO ambayo unaogopa WAKUBWA WATAYAFIKIRIAJE na sio weye muhusika ``UNAYAFIKIRIAJE?´´
Ndio,...
..ashki nyingine,...
... labda WAPAMBE ndio wametungiwa UPAMBE na MPAMBE!
Swali :
- AU?
Nawaza tu MHESHIMIWA!
HEPI KIDUDE cha LEO AISEE!
HEPI KIDUDE cha LEO AISEE!
Hebu turudi BURUNDI ili Khadja Nin adinye tena - Mama
Au tu tena Juliana Kanyomozi na Bushoke waongezee dhambi kwa-Usiende Mbali
Au tu ghafla Frankie Paul aingilie kati kwa -SARAH
Halafu labda tu a-SHUB in
Ndio ,....
...NIPO na SIZZLA alikuwepo AISEE:-(
Au tu azime kwa -Just One of Those Days
Ajaribu kulainisha kwa - To The Girl I Love
Au akiri tu -WOMAN I need U
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Leo hapa sijua kama nipo nawe....Ila juliana na bushoke wameniliza...
Duuh mkuu, nawaza sana , ....ilivyo sasa,bila mpambe hupati kitu, maana upambe ni kila kitu, hata ukitaka kwenda kuchumbia ni muhimu uwe na Mapambe, na wenzetu huko Arusha kwenye kampeni ya kutafuta ulaji wana upambe wa taarabu, vikofia khanga...siunajua tena ulaji ulivyo mtamu...
Nimekupata
Post a Comment