Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MACHACHARI labda KITAFSIRI ni tafsiri tu!

>> Friday, March 23, 2012

Na anayetafsiri mwenye MACHACHARI,...
.... kwa bahati mbaya yasemekana mara nyingi hana jicho na sikio au hata maadili ya afanyaye MACHACHARI.:-(
Swali:
  • Si machachari mengine kwa wengine ni UKICHAA?
  • Na si LABDA machachari ya PANZI kwa KUNGURU ni kitoweo?

Na usishangae kushuhudia uaminiye KAZUBAA ndioanayewini,...
.... kwa kuwa labda hata KUZUBAA kwa MTU ni tafsiri tu za WATU!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !
Ijumaa na WIKIENDI NJEMA Mheshimiwa!Hebu Baron aanzishe kwa - Sweet Soca Man


 


King KIKI aingilie na kusawazisha kwa-MASANTULA
LUCKY DUDE akumbushie -Back To My Roots

 


Don Carlos ajaribbu tena kulainisha kwa - Just A Passing Glance

 


Halafu KWANZA UNIT wazime tena kwa-Msafiri

 

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:40 pm  

Ahsante kwa wazo la leo la kufikrisha..na naendelea kuwaza. IJUMAA NJEMA Simon:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP