Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Gitaa moja latosha -ALAAhhH!

>> Monday, March 12, 2012

Hebu cheki hawa jamaa watano wa- Walk off the Earth ,...
...wakitosheleza kwa Gitaa moja katika pini-Somebody That I Used to Know !Pamoja sana MKUU!
Na nakutakia SIKU NJEMA!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:09 pm  

kwanza nimejiuliza kuna uhaba wa gitaa nini lakini nimeona au gundua labda ni kipaji...mmmmhh! "Somebody That I Used to Know !" nimekumbuka kitu fulani hapa :-)

emu-three 12:56 pm  

Mkuu ndugu yangu nahavome!

Simon Kitururu 4:26 pm  

@Da yasinta: kuhusu SOMEBODY that I used to know- nami nilikumbuka kitu ambacho hasa kikafanya wimbo huu univutie zaidi hata ya vipaji vya wajanja hawa!
@Mkuu EMU THREE: Tuko Pamoja Ambiere!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP