Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wakati tunahangaikia kuahidi TUTAKAYO KUYAFANYA baadaye au MIAKA ijayo!

>> Thursday, March 01, 2012

Kuna tuyawezayo SASA HIVI,...
... ingawa ndiyo hatuyafanyi sasa HIVI.:-(

Swali:
  • Hivi ni mangapi tuwezayo kuyafanya SASA HIVI na hatuyafanyi?
  • Si kuna MENGINE tunayaonea tu uvivu kuyafanya SASA HIVI?
  • AU?

Ndio,....
..... labda mpaka kuna MIMBA za vitu ziwezekanazo SASA HIVI,....
.... ila ni ile TABIA  YETU TU ya kujijengea kuyapa kipaumbele MAMBO ambayo hatuna na ambayo sasa hivi labda hatuyawezi  KIKIPATO, kielimu au hata KIKUJIPODOA ,...
....ndiyo yacheleweshayo MTOTO kutungwa na kuzaliwa kwa tumizi la yaliyo katika uwezo wetu SASA HIVI na tuyawezayo SASA HIVI.

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Hebu Mbilia Bel aanzishe upya kwa - Nakei Nairobi


Mbilia Bel aongezee-NADINA

Jimmy Cliff akatizie denge kwa -Hot SHOTJimmy Cliff sijui kwaniniila ngojea amuongelee kimwana katika- Roots Woman
Halafu SHAI wazime tena kwa nyundo- If I Ever Fall In Love

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:39 pm  

mmhhh...sijui kama ni vizuri kuahidi kitu kama huwezi au hujui utatekeleza

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP