Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TANZANIA kama tu DUNIANI labda hakuna awezaye kufanya MATUSI watu wote!!

>> Thursday, March 22, 2012

Ndio,...
.... hata katika MAZURI,...
.... waulize akina NYERERE au GANDHI ,...
.... utastukia kuna NGELI ngumu katika  sentensi ,...
.... na LABDA ndio maana si  kila neno hutungiwa sentensi popote na kwa YOTE!Swali:
  • AU?


.....au niseme...
.....NDIO,....
.... labda hakuna  AWEZAYE YOTE   kwa watu WOTE,....
....jitahidi lakini !

Ni wazo tu hili NGULI!


Hebu BOB MARLEY aingilie kati kwa -Get UP stand UP


Bob Marley aingizie tena - Lively Up Yourself

 


Ila sijui kwannini turudi Brazil tena CéU ajaribu kulainisha kwa - Roda


 
Halafu CéU anyutrolaizi zaidi kwa-LENDA
Halafu Herbie Hancock aingilie tena kati na kuongeza nguvu kwa huyuhuyu CéU halafu wazime kwa -Tempo de Amor

 

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:37 am  

nukuu ".....au niseme...

.....NDIO,....

.... labda hakuna AWEZAYE YOTE kwa watu WOTE,....
....jitahidi lakini !" mwisho wa nukuu. Ni kweli hakuna awezaye kila yote. Lakini pia hakuna kisichowezekana...ukijitahidi bila kukata tamaa.

Mija Shija Sayi 10:31 pm  

Kujitahidi tunajitahidi ila ngumu sana Mtakatifu..

Mija Shija Sayi 10:31 pm  

Kujitahidi tunajitahidi ila ngumu sana Mtakatifu..

Simon Kitururu 3:09 am  

@Da Yasinta na Da Mija: Ndio Hapoooooo!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP