Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

WANAWAKE Oyeeeeeeeeeeh!

>> Thursday, March 08, 2012

LEO ,...
....ni SIKU ya WANAWAKE!
Hongereni MAMA ZETU!

Nashukuru kwa yote akina DADA, Wachumba, Wapenzi, na MAMA ZETU ,...
... na BILA nyie hakuna KIDUME kingejitutumua AISEEEH!


KILA la KHERI kwenu katika YOTE!
Ni hilo tu!


Baada ya hilo hebu GREGORY ISAAACS tena katika kutuamisha katika hilo ,...
 a-Confirm Reservation
Gregory aingilie tena-FRONT DOOR
Asawazishe kwa-NOT the WAyHalafu azime kwa-HOT STEPPER
Ndio,...
... BADO NIPO!


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:45 am  

Hakika ni kweli WANAWAKE OYEEEEEEEEEEEEEEE!!! Nami nasema bibi, mama, shangazi, dada, binti na yeyote yule ambaye ni mwanamke, wanawake tunaweza.Ahsante Simon kwa kuitangaza siku hii.

Ester Ulaya 12:09 pm  

Asante sana kaka, akina mama oyeeeeee

sam mbogo 8:07 pm  

kweli akina mama oyeeee. je na akina kaka poa mashoga nao leo sikuyao? nimeuliza tu manake nawao wana mbwembwe utafikirikweli waliumbwa tangia awali wanawake. mama zetu,dada zetu nk tunawapenda sanaaaaaaaaaa. kaka s.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP