Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MATUMAINI!

>> Tuesday, March 20, 2012
Nafikiri PICHA inajieleza!
Na MUNGU atujalie TUSIKATE TAMAA hata kama HALI HALISI kiugumu wa MAISHA inatisha!PS:
Samahani kwa kudesa picha kwa kuwa sijui mwenye hakimiliki nayo!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:46 pm  

Matumaini na Imani ni vitu muhimu sana katika maisha lakini kama mapema unakata tamaa huwezi kujua ingekuwaje.

Simon Kitururu 4:34 am  

Kweli kabisa kKigoli!@Dada Yasinta

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP