Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tukimkodolea macho adaiye ``SHUKURANI za PUNDA ni kugidwa TEKE makende!´´

>> Wednesday, March 28, 2012
Kuna wadhaniao wanastahili SHUKURANI,...
.... ingawa kwa ambao wanagidwa TEKE ndio wastahilio SAMAHANI ,...
.... kwa huyo ategemeaye SHUKRANI kwa afanaylo alengeshaye SHUKRANI ,...
.... na kwa TENDO hilohilo AFANYALO.

Swali:
  • SI kuna uwezekano MLANDIZI anajisahau na kudhani ni mtupa MAGANDA  ahitajiye kujipendekeza na KUSHUKURU angalau kwa kupewa fursa ya kupata kipengele cha kutupa MAGANDA hapa DUNIANI ?

Ndio,...
.... wengi KIUANGALIO,...
.... labda kuna YASAHAULIWAYO,...
..... na kufanya watu WABOBEE katika ya MKAO  gani WAMEKAA ,...
....... bila kustukia wakati wanajadili staili za MKAO,.....
.... kuna waliye MKALIA!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu tu Hugh Masekela arudishe - Afro Beat Blues

 


The Funkees warudie kidude - Akula Owu Onyeara

 


Halafu FELA KUTI afunge kazi kwa -Waka WAKA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Rachel siwa Isaac 11:47 pm  

Ahsante kaka wa mimi Mtakatifu Simon wa Kitururu,mzee wa .............Uwe na wakati mwema ndugu!!!!!

Yasinta Ngonyani 11:43 am  

Kaka Kitururu ni bonge la wazo Ahsante. Nakuhusudu kwa kuwaza!!siku njema nakila la kheri...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP