Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

FUNUNU za kwenye CHUPI!

>> Friday, March 02, 2012

Ndio,...
....hata CHUPI labda HAIJUI YOTE ya KIFUNDO cha  kwenye CHUPI na chupi inajua fununu tu za BAADHI YA ya  kwenye CHUPI!


Na ya kwenye CHUPI labda,...
... KIUJUAJI ni tafsiri tu za aliyevaaa CHUPI,....
....kwa kuwa kijuliwacho na HATA mavuzi YASIYOHITAJI CHUPI ,...
.....labda ni mavuzi na kitobo KILE chini ya mavuzi KWENYE MSULI WA KIUME  na MIZIGO YAKE kama tu ilivyo pembeni ya KIPENYO cha UKE ,...
...ila labda MAVUZI hayahusiki KIUJUAJI hata kwa HAYO!:-(
Swali:
  • AU?
Ndio,...
... labda MCHUNGAJI hajui KANISA ki- KUBWA KULIKO,...
... kama tu SHEKHE ambavyo hajui MSIKITI ki-KUBWA KULIKO,...
.... kwa kuwa zote LABDA ni FUNUNU tu!:-(

Swali:
  • AU?
Ni FUNUNU ya wazo tu hili MHESHIMIWA na kunibishia RUKSA!
Ijumaa na KWARESMA Njema BINGWA na kwa hilo wala sio FUNUNU!

Hebu   tukumbushane yale yakunyima wale wa-KIDATO KIMOJA




Au tudekezwe tu tena na -ANITA



Ila tu hebu tena izimike TENA kwa kombinesheni hiii...



KUMBUKA kucheki majina ya video nilizoziweka na nunua kazi zao kihalali BINGWA!

PAMOJA SANA!


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:32 pm  

Kila nikiingia hapa huwa nashtuka kwa kichwa cha habari tu..Lakini nachompendea mwandishi ni kwamba yu muwazi anasema kila anachokiwaza bila kuogopa..na ndivyo inavyotakiwa kwani wengi tunafikiri ukisema hivi jamii itafikiria hivi...Endelea mtakatifu..Na nimefuatilia na kusikiza nyimbo na vichwa vya habari inaonekana ni ujumbe maalumu..Ahsante pia.Ijumaa na jioni pia wikiendi njema binafsi haitakuwa njema...

Simon Kitururu 4:08 pm  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Jamii si ni sisi au si ni sisi tutengenezao jamii?

Yasinta Ngonyani 4:15 pm  

Najua jamii ni sisi na sisi ni jamii..lakini si unajua nikisema jamii na sawa na sisi. Watu wengi wanaona kusema kama usemavyo wewe ni vibaya lakini ww hakika sijui nisema nakuonea WIVU.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP