Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HADITHI ya KITOTO ikiwa labda ndio SHULE ya MZEE JOHN, Mwanamama LILIAN , Mdada ZUBEDA au tu hata Mzee KIGOLI

>> Wednesday, March 21, 2012

Ndio,...
.... labda,...
.......ili MKUBWA atunge HADITHI ya KITOTO,...
..........labda SI LAZIMA akumbuke UTOTO ,....
... ingawa WAKUBWA waitavyo hadithi fulani zenye fundisho tokea utotoni,...
.... ni za KITOTO!:-(

Swali:
  • AU?
  • Unafikiri kuna UKUBWA wa MTU uliovuka UTOTO bila kuunganika?
  • Hivi kwani UTOTO ni NINI?

Ndio,...
....na labda UTOTO wangu au tu WAKO,...
....una mpaka  ULICHOJIFUNZA  utotoni USICHOKITUMIA,...
....kisa unajiaminisha au tumeaminishwa ni cha KITOTO.:-(

Swali:
  • AU?
Ndio,...
... na kutafsiri wafanyayo WAKUBWA ni ya kitoto,...
.... kama tu ya WATOTO yarukwavyo kama yamekaa KIKUBWA,...
....... labda zote ni TAFSIRI zirukazo tu KIPENGELE fulani.:-(

Ni wazo tu hili  tu MKUBWA na ngojea niende kukojoa!
Siku njema lakini MHESHIMIWA na wala usikonde!

Hebu tu tena Duke Ellington aturudishe mwaka 1943 wakati anarudia mdinyo- It don't mean a thingDuke Ellington arudie pia -Sophisticated Lady


 

Louis Armstrong aingilie kati kwa - Mack the Knife
 


Hebu Louis Armstrong adinye pia- Hello Dolly


 


Halafu tu hebu LOUIS ARMSTRONG aweke pia kidude kwa pini-What a wonderful worldHalafu JOHN LENON azime kwa-IMAGINE

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:30 pm  

Au labda inawezekana hakuna ya kitoto wala kikubwa...Duh kaazi kwelikweli "eti ngoja niende kukojoa"...mmmhhh! naacha....

Simon Kitururu 3:10 am  

@Mtoto Mzuri Yasinta: Mmmmmh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP