Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hebu twende UGANDA katika ya JOSEPH KONY 2012

>> Thursday, March 08, 2012

Swali:

  • Si unakumbuka VITA ya JOSEPH KONY bado ipo UGANDA aipiganiayo kwa jina la YESU?

Ndio,...
....LORD 's RESISTANCE ARMY(LRA), ...
.... ndio JINA la KUNDI LAKE ambalo anadai vita yake ina MUNGU wa KIKRISTO ndani yake .

Hebu tuendelee kwa kudeku,....

Au tupatiwe....


2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 6:56 am  

Sasa Kony yuko waziiiii; na jana alitawala Twitter na kutajwa sana katika Associated Press, Yahoo News na kwingineko...Masetelaiti ya Google na NASA yakielekezwa huko alikojificha na Drones zikianza kumsaka bila shaka wataweza kumpata.

Dini bwana ni bonge la ulaji siku hizi. Maisha yakikuchosha huko Skandinavia basi jipachike unabii halafu fungua bonge la kanisa huko Upareni. Mi nitakuja kukupiga tafu kwa kuwa mwanapropaganda wako au mwandishi wa vipeperushi vya kuwataka waumini kutoa walichonacho...Miaka miwili mitatu tu utakuwa milionea...

Simon Kitururu 4:37 pm  

@Kaka Matondo: Yani inasikitisha!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP