Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama WAFU wangerudi LEO hii!

>> Saturday, March 17, 2012

Kuna WAJIFANYAO wajanja wangefyata MKIA!
Kuna BUSARA zingekuwa na USHAHIDI!
Kuna UONGO ungejulikana!
Kuna UKWELI ungekuwa na HAKIKISHO!

Na wangejibu:
  • Hivi kweli kuna kitu MBINGUNI?
  • AU?
Na kama WAFU huona waliohai,...
.... hawa JAMAA wakirudi kuna wachunguliwao wakifanya matusi MIGOMBANI wapya watakao GUNDULIKA aisee!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi njema NJEMBA na KIDOSHO hapo ulipo!

Hebu tugewe Sirata tena na Habib KoiteAu tu tena Habib Koite aue kwa - Takamba

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 6:41 pm  

Ingekuwa kazi kweli....ila sijui kama wangesema kuna nini huko Mbinguni...Jumamosi njema nawe pia Simon:-)

Simon Kitururu 7:11 pm  

@Da Yasinta: Jumamosi njema Mpenzi KADALA!

Yasinta Ngonyani 8:12 pm  

Ahsante sana KAKA MUPENZI KADODA:-)

Rachel siwa Isaac 9:17 pm  

Ahsante Mtakatifu Kitururu, Kadoda oohh jina hili nimelipenda!!!basi mimi Kachiki au?J'mosi njema kaka wa mimi.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP