Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Happy Birthday DADA NTE!

>> Saturday, March 10, 2012

Ndio,..
... wewe ni MAMA yangu ,...
... na ASANTE kwa YOTE!

HAPPY Birthday Dada NTE a.k.a Dada PHEBE!

Na,...
 HAPPY BIRTHDAY DADA JOY!
....ingawa siku yako ilikuwa JANA lakini!


DADA JOY kushoto, Binti yake LOYCE kulia!

Ndio ,...
....na DADA wawili katika FAMILIA na wamepishana siku MOJA kikalenda!

TUKIACHANA na HILO hebu twende tena ETHIOPIA ili MEKLIT HADERO adai ya-FEELING GOOD
Au tu Meklit Hadero amwage pia kiithiopia-ABBAY MADO

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:39 pm  

Happy Birthday Dada Nte!

Rachel siwa Isaac 1:04 pm  

Hongera da'ENTE Kwakuuona mwaka mwingine, Mungu akubariki sana!!

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 5:44 pm  

Happy birthday Auntie Nte!!

Yasinta Ngonyani 8:54 pm  

Oh sikuona kumbe na dada Joy naye katimiza miaka. HONGERA..halafu binti yake kafanana nawe Simon...

Simon Kitururu 4:34 pm  

@Da Yasinta : Sidhani kama ni kweli ni mefanana na Loyce mtoto wa Dada yangu Joyce. Na ndio uliwahi kuniuliza kitu -ni kweli nina Dada wawili. Nte a.k.a PHEBE ni wa pili katika familia. Dada Joy ni9 wa nne. Na mie ni watano na kitinda mimba!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP