Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda KUNUKA kiuchafu kama tu USAFI wa MTU asiye KINUKA MKOJO ni hulka tu za MTU!

>> Friday, March 16, 2012

Ndio,...
.... labda kuna WACHAFU ki-HULKA,...
.... kama tu ambao ni WASAFI hata kama bado wana GWAGURO  la JUZI.!:-(

Swali:
  • Kwani hudhani kuna NDUGU na JAMAAZ hata ufanyeje wao ni WASAFI tu KIMFANANISHO  hata kama  wao na wale NDUGU na JAMAAZ wachafu huwa wanacheza MCHEZO MMOJA  katika UWIGO huohuo MMOJA?
  • Na si DARASA lilelile na MWALIMU yuleyule huzalisha WAFELIO na WAFAULUO mtihani?
  • Na si Rais NYERERE na Rais MKAPA ni matunda ya NCHI MOJA?

Ndio,...
.... nyumba ileile kama tu MAZINGIRA yaleyale,...
.... yanamchezo wa kuzalisha MALAYA na wale wasio MALAYA hata wa kiume KISIFA!:-(


Ni wazo tu hili MKUU!
IJUMAA NJEMA MHESHIMIWA !


Hebu tu tubadili kwa    kufungulia MBWA kwa kusikiliza  HEKIMA za WAZEE WETU wajiheshimuo


Au tu tena Sekouba Bambino arudishe tena ustaarabu kwa - Diarabi

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:39 pm  

Kaaazi kweli yaani nimecheka mpaka ...huyo babu anavyongea sijui kama kuna wengi wanaongea hivyo...ijumaa Mtakatifu:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP