Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kinyesi cha kale HAKINUKI ila bado ni KINYESI tu!

>> Tuesday, March 06, 2012

Binadamu anamchezo wa kusahau,...
..... lakini yasahauliwayo kama yalikuwa ni MABAYA ,...
.... LABDA kumbuka kuwa ubaya wake bado uko palepale.
Swali:
  • AU?
  • SI mavi ya kale HUWA hayanuki lakini bado huwa hayaletwi PIA kwenye sinia la ubwabwa wa Kicheni Pati au hata MSIBANI kama CHAKULA?

Ndio,...
... labda SAHAU,....
.....lakini sifa za usahaucho labda bado zina sifa ZILEZILE.

Ni wazo tu hili NGULI!
Siku NJEMA!


Hebu tena Bonga na Lura wadinye-Mulemba XangolaDavid Rudder aingilie kwa -The Hammer


Au tu tena LONGOMBAS wakumbushie-VUTA PUMZ

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:10 pm  

Nimekupata mt. ila du bonge la wazo hata la kuongezea sina naacha...siku njema nawe pia

Simon Kitururu 4:39 pm  

@Dada Yasinta: Asante!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP