Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hongereni akina MAMA!

>> Sunday, March 18, 2012

HAPPY MOTHERS DAY!
Yeah!
Nyie NGULI aisee!

Hebu tupate tukunyema bila jasho kwa ajili ya MAMA FULANI...

-Sweet Mother I no go forget youAu tuachane tu na siku hizi za kutunga ,...
.... kwa heshima hebu Mdada Jocelyne Beroad aweke ulimbo kwa-Kay Manman


Au tu Sipho Hotstix MABUSE aingilie kati kwa -SHIKISHA


Halafu sijui kwanini ila huyu huyu SIPHO Hotstix MABUSE azime mshawasha kwa kunyuka tena-Jive Soweto


 Ndio,...
.....bado NIPO!4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:39 pm  

Hongera akina mama wote nikiwa mojawapo..na pia mama yangu ambaye sikupata nafasi ya kumwambia nampenda sana. Na nitakupenda daima

Yasinta Ngonyani 8:15 pm  

Nakusifu kweli kadoda kwa kuwa pamoja na watu hii ni safi sana..ni kipaji

Rachel siwa Isaac 8:41 pm  

Ahsante kaka wa mimi,Pia uko poua na washikaji wape Hi waambie Kachiki nawasilimia sawa Kadoda? Hongera yetu da'Kadala na wamama woootee, bila kumsahau mama Kitururu!!!!!

Simon Kitururu 8:54 pm  

ASANTENI jamani!@Rachel na Yasinta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP