Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Yasiin BEY a.k.a MOS DEF , PHAROAHE MONCH na MICHAEL WINSLOW wamenidhambisha hivi KARIBUNI!

>> Friday, March 02, 2012

Kutoka kwenye KAMERA yangu , sikio na JICHO LANGU

Hebu Pharoahe Monch aaanzishe kwa - Simon Says


Au tu Pharoahe Monch na MOS DEF waendeelee kama walivyo dinya masikioni mwanguhuku wakimkumbuka NATE DOGG jana katika-Oh No
Ndio....
....MICHAEL WINSLOW yule wa.....

...Police Academy's Man of 10,000 Sound Effects


....aseme...


Ndio ,...
...nilikuwa naye pia kama tingatinga zisemavyo..


4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:54 pm  
This comment has been removed by the author.
Yasinta Ngonyani 3:56 pm  

Naona ulikuwa na wakati mzuri kweli na ulivunja mbavu kwelikweli. Maana umwangaliapo kweny TV na vituko vyake duh...

SIMON KITURURU 4:06 pm  

@Da yasinta: Yeah!

Yasinta Ngonyani 4:17 pm  

Nimeona wivu na nikatamani kama nami ningekuwepo na kuvunja mbavu:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP