Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MAFUTA yagundulika TURKANA , Kenya!

>> Monday, March 26, 2012

FILE |NATION President Kibaki at his Harambee house office.                

Haya sasa ,...
.... inaonekana UGANDA na KENYA kuna MAFUTA,....
... na ukichanganya na yasemwayo TANZANIA ,...
.... basi AFRIKA MASHARIKI  inakuja JUU katika swala la nishati HII.

Kitishacho ni kuwa:
  • Kuna uwezekano mkubwa ni WAJANJA tu ndio wafaidio.
  • Pia kuwa hivi vitu huja na LAANA zake ukizingatia  vita na kasheshe nyingine za umasikini  na uchafuzi wa MAZINGIRA zikumbazo wenye nishati hizi hasa AFRIKA.
TUOMBEE haya mambo yasije na SHARI!

Pata habari zaidi HUKU

http://www.nation.co.ke/business/news/Kenya+strikes+oil+in+Turkana/-/1006/1373886/-/1537alm/-/index.html

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

EDNA 8:49 pm  

Ni habari njema,na pia hiyo habari njema inaweza geuka kuwa chungu.Kama ulivyosema TUOMBE HAYO YASIJITOKEA.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP