Kuhusu kile kipaji kirukwacho katika KUSIFIWA -kile cha KUNYA!
>> Monday, March 19, 2012
Vipaji vingine,...
.... yasemekana ni SIRI!
Swali:
- AU?
Na misura MINGINE ,...
....YASEMEKANA aisifiaye ni mama mzazi tu wa toto hilo lenye sura BAYA kama tako CHAFU la nguruwe lenye UPELE !Swali:
- SI chako kinavumilika hata kwa sifa MBAYA?
Ndio,...
... labda hata wewe Mheshimiwa una KIPAJI cha siri,...
... na labda MUANZILISHI wa kutokisifia hicho kipaji ambacho wakijua wewe mwenyewe tu ni WEWE.:-(Ni wazo tu hili BINGWA!
Jumatatu NJEMA!
Hebu tulazimishwe kugusana na ya mpenzi tena kwa msaada wa EDDY MURPHY tena akiwa
na Sexual CHOCOLATE
Abeti MASIKINI arudishe tena -LIKAYABO
Manu DIBANGO ajaribu kusawazisha kwa-WOA
Lil BiTS aharibu tena kwa -BUMP
TAMISHA NICHOLLS aharibu zaidi tena kwa-BADDER dan DAT
Tukatizie NAMIBIA pia ili Tate Buti arudie - Oshitenda
Halafu tu tu hebu FELA KUTI ndiye atulize mshawasha kwa-FOGO FOGO
0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment