Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Siku wewe ungekutana na WEWE, ungejitongoza?

>> Wednesday, March 07, 2012

Ndio,...
.....KUNAWASIOJIPENDA,....
...... na tatizo labda ni kwamba kama WEWE mwenyewe HUJIPENDI.......
Swali:
  • Utampendaje jirani yako?
  • Si yasemekana neno la MUNGU husema MPENDE jirani yako kama UJIPENDAVYO?
Ndio,...
... wakuchukiao ,...
labda wanakupenda tu WAJIPENDAVYO,...
.... kwa kuwa mapenzi yao kwa WAO WENYEWE ni zero au hata kufikiriwa HAYAPEWI NAFASI!:-(


Swali:
  • AU?
Ndio ,....
.... kuna wajuao wanapenda MAANDAZI zaidi ya KITUMBUA lakini!


Ni wazo tu hili MKUU!
Unapendwa na MIMI Mheshimiwa kweli kabisa !


Hebu Slick Rick na Doug E Fresh waanzishe kwa orijino -La Di Da Di


Snoop Dogg aingilie kati na kutafsiri kivyake kazi ya Slick Rick kwa-Lodi DODI

Luniz wakatizie denge kwa- I Got 5 On It
Halafu Dr Dre ndiye aanze kuzima tena kwa - Keep Their Heads Ringin'

Halafu Snoop ndiye azime tena kwa-Gin and Juice


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:28 pm  

Nadhani siku mimi ningekutana na MIMI ningezimia...nakubaliana nawe kwanza jipende mwenyewe na wengine watakupenda...Lakini nadhani mara nyingi huwa tunajisahau..wewe si jirani yangu basi nami NAKUPENDA KAMA NIJIPENDAVYO:-)

sam mbogo 4:52 pm  

kiukweli,niliwahi sikumoja kujiuliza juu ya kauli hii mpende jirani yako kama unvyojipenda. nikaishia ,kwa haraka haraka kuona ka ma ni ngumu sana kwa binaadamu wa kawaida kutenda /kutekeleza kauli hii. kwa maneno unaweza kumpenda jirani yako. kimoyoni/nafsi inahitaji dhamira /wito katika kutekeleza. kaka s.

Simon Kitururu 4:41 pm  

@Kaka S: Nakubaliana kabisa na hoja!

@Dada Yasinta: Nakupenda sana nawe Kadala!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP