Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUSHUKURU si LAZIMA lakini ni UUNGWANA!

>> Saturday, March 10, 2012

KUNA thamani ya KUSHUKURU mtu,...

.... ingawa kishilingi haipimiki!
Na akulipaye KISHILINGI kama SHUKURANI mtu,....
.... anapunguza THAMANI ya SHUKURANI kwa kuiwekea kipimo katika ambacho HAKIPIMIKI!

Swali:
  • AU?
Ni uungwana lakini KUSHUKURU,...
.... na asanteni wote ambao katika moja au jingine kama siyo YOTE,....
...... kwangu mlionifanyia yamekuwa CHNGAMOTO na MSAADA MKUBWA MAISHANI MWANGU!

Ni hilo tu WAUNGWANA!
ASANTENI SANA!Hebu NAKAAYA arudishe shukurani za aina nyingine katika -SHUKRANIAu tu St. GERMAIN warudishe mdinyo -SURE THING

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:31 pm  

Ahsante kwa shukurani ..nawe shukrani kwa yote

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 5:52 pm  

yawezekana hata suhukurani ikawa kwa hata yale yasopaswa kupokea shukrani kabisa!

tatizo ni ugumu wa kuitoa hiyo shukrani kama ilivyo kwa mpare kuacha ubahiri wake! :-(

Simon Kitururu 4:31 pm  

@Da Yasinta: Shukurani sana kwako pia kwakuwa UMENIFUNZA mengi sana ki aina nyingi!

@Kadinali Chacha:Nimekubali!

Yasinta Ngonyani 4:37 pm  

:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP