Kila SIKU kuna kitu kinabadilika ingawa labda KIBADILIKACHO ni mpaka na RANGI ya CHUPI YAKO!:-(
>> Saturday, March 10, 2012
NDIO,...
...kuna TUSIYOSTUKIA,...
....lakini hata WEWE katika TUSIYOYASTUKIA,....
...labda hata MIMI na WEWE wa JANA,...
... labda SIO mimi na WEWE kama tu YULE na MIMI wa JANA!:-(Swali:
- UNABISHA?
- Unafikiri wewe jana ni WEWE leo?????
Ndio,...
.... inawezekana usikiliziavyo UKOJOAVYO LEO,...
.... ni tofauti NA ulivyosilikilizia MNOGO jana!:-(Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA!
Hebu John LEE hooker na SANTANA wadai- CHILL OUT
Au tu John LEE HOOKER aponye kwa -The Healer
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Inawezekana lakini si lazima!!
Duuhh, hii kali!!hata Kitururu wa leo si wa kesho, Kesho ataitwa baba na..........
nawaza pale ambapo mnogo wa muziki kibanangenge a.k.a bakulutu unapokuwa tofauti na mnogo wa bongo fleva ilihali vyote ni muziki :-(
@Da Yasinta: Labda!
@Da Rachel: DUH!
@Kadinali Chacha:Ndio hapooooo!
Post a Comment