Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kila SIKU kuna kitu kinabadilika ingawa labda KIBADILIKACHO ni mpaka na RANGI ya CHUPI YAKO!:-(

>> Saturday, March 10, 2012

NDIO,...
...kuna TUSIYOSTUKIA,...
....lakini hata WEWE katika TUSIYOYASTUKIA,....
...labda hata MIMI na WEWE wa JANA,...
... labda SIO mimi na WEWE kama tu YULE  na MIMI wa JANA!:-(

Swali:
  • UNABISHA?
  • Unafikiri wewe jana ni WEWE leo?????
Ndio,...
.... inawezekana usikiliziavyo UKOJOAVYO LEO,...
.... ni tofauti NA ulivyosilikilizia MNOGO jana!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Jumamosi NJEMA!

Hebu John LEE hooker na SANTANA wadai- CHILL OUT

Au tu John LEE HOOKER aponye kwa -The Healer

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:42 pm  

Inawezekana lakini si lazima!!

Rachel siwa Isaac 1:03 pm  

Duuhh, hii kali!!hata Kitururu wa leo si wa kesho, Kesho ataitwa baba na..........

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 5:56 pm  

nawaza pale ambapo mnogo wa muziki kibanangenge a.k.a bakulutu unapokuwa tofauti na mnogo wa bongo fleva ilihali vyote ni muziki :-(

Simon Kitururu 4:32 pm  

@Da Yasinta: Labda!
@Da Rachel: DUH!

@Kadinali Chacha:Ndio hapooooo!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP