Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

CHAKUKUMBUKA!

>> Thursday, July 23, 2009

Ni muhimu KUSAHAU,...

.... hata kama ni ujanja UKIKUMBUKA.


Na kwa kuwa TUNASAHAU,....
... LABDA ndio maana tunarudia hata yaumizayo tusiyo vizuri KUMBUKA.


Na kama leo UTASAHAU,...
.... labda kuna utakayefikiri baadaye ni JINIASI kwakuwa eti ANAKUMBUKA.:-(


Na unaweza kwa kula njegere UKASAHAU,...
... lakini kumbuka mtupa maganda ATAKUMBUKA.:-(

Swali:
  • Unakumbuka LABDA kuna jambo ulikuwa unalikumbuka miaka yote na ni leo hii umelisahau?


NAACHA wazo au tu Ujinga kama kwako ni UJINGA niandikacho katika BLOGU hii Mheshimiwa!:-(

SIKU NJEMA lakini MHESHIMIWA!


DUH ngojea Ochestra Makassy waongelee- Mosese



ASANTENI SANA Wadau ambao hamnichoki kama PAPAA Martin Mtefu,TOMMY, Peter na Marwaan ambao ni hawa hapa ndani ya baadhi ya picha hizi zangu...:-(

Photobucket




Photobucket






Photobucket










Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket





Photobucket



Photobucket

Au tu Lord Kitchener amalizie kwa kuongelea MENDE katika- KAKA ROACH

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:01 pm  

Picha nzuri ukijipenda mwenyewe kwanza basi na wengine watakupenda. Siku nzima Simon!!!!

Simon Kitururu 1:57 pm  

@Yasinta : Ungejua katika baadhi ya picha zenye kicheko ni kwamba nimemaliza kula chakula fulani na meno yanaonekana machafu ndio kichekesho kituchekeshacho , UNGENIHURUMIA!:-(

Yasinta Ngonyani 3:32 pm  

Simon nimeona ila sikutaka kusema nimecheka kweli na mpaka nimekuhurumia:-)

Simon Kitururu 3:35 pm  

@Yasinta:-(

Halafu sasa hivi meno yanang'aaa nikimchekea mtoto mzuri anaweza akaninusisha:-(

Fadhy Mtanga 1:13 am  

Haswa! Nimekumbuka kutembelea jamvi hili.

Simon Kitururu 8:24 am  

@Papaa Fadhy: Asante Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP