Tuesday, July 07, 2009

HAMU ya vitu ADIMU!

Ni ulafi KULA SANA ,....
...... kwakuwa TU chakula ni KINGI.:-(

Na mapenzi yako ya NONIHINO,...
.... kwa kuwa unadhani ni adimu ,mie SIYAPINGI.

Na ni kweli,....
..... WALI ni MKUSANYIKO tu wa PUNJE za MCHELE NYINGI.

Kwa hiyo labda penzi lako la WALI,...
..... labda NI mkusanyiko tu wa PENZI LAKO la punye za mchele zilizobanana kwa WINGI.

Na kunauwezekano UKIKUSANYA penzi lako la vitu ADIMU,...
... utakuja STUKIA ni kweli PENZI LAKO si ADIMU kwa kuwa ni kweli UNAPENDA MENGI.:-(


Na kwa kuwa wengi hukwepa MALAYA kwa kuhusudu ADIMU,...
..... ndio maana DUNIA hii ya wenye hamu ya ADIMU imejaa MENGI.

Swali:
  • Au?
  • Unauhakika na uadimu wa vitu udhaniavyo ni ADIMU?


NAACHA wazo na nakutakia JUMANNE sangara wamo!

Ngojea na NASIO FONTAINE aongelee JUMANNE fulani katika -Black Tuesday


Au tu Lil VICIOUS amzungumzie mtoto mzuri kwa jina- NIKA

6 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Duh! Na mishangao inapokuwa adimu? Unajikuta unashangaa mengi! Nimepatia?

SIMON KITURURU said...

@Papaa Fadhy: Umepatia!:-)

Yasinta Ngonyani said...

Simon:-(

chib said...

Leo nimetoka patupu!!! :-/

SIMON KITURURU said...

@Yasinta: :-(
@Mkuu Chib: :-(

Anonymous said...

kama kweli simon ungeandika uandikayo kuhusu jumuwata naamini tungekuwa mbali sana.



rASTA HAPA.