Thursday, July 09, 2009

LEO mie MTAKATIFU Simon Kitururu NAKIRI kuwa na HAMU kweli ya UTANDU na UKOKO kwa MBAAAAALI!:-(


Sijui nipandishe MZUKA wa UTANDU na UKOKO ?

Na hamu kweli ya UTANDU na UKOKO kwa mbaali halafu nilipo MAMA NTILIE HAKUNA!:-(

DUH!

Na hapa siongelei ukoko wa UGALI , MAHARAGE ya NAZI ya JANA au tu MAKANDE a.k.a PURE/ KIBULU.

Wapenzi wa hiki kitu nadhani MNAJUA na mnanielewa naongelea nini!:-)

DUH!:-(



NI HILO TU!


Ngojea nijisahaulishe kwa kufikiria -BATA kama wasimuliavyo -HABIB na RICHIE


Au tu SAMBA MAPANGALA aendelee kunitamanisha -NYAMA CHOMA

4 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Mmmh, haswaaa..!

Yasinta Ngonyani said...

Hahahahahahahaha nashindwa kuacha kucheka MTAKATIFU SIMON kazi kwelikweli labda niseme sentesi moja tu. Mambo yenyewe ndo kama hivyo basi kazi ipo.Samahani kwa kucheka:-(

Mija Shija Sayi said...

Pole sana mtakatifu. Kumbuka maneno yako hakuna anayeimiliki furaha kwa asilimia 100, naona hapo leo furaha yako imetatizwa na HAMU.

SIMON KITURURU said...

@Wote: :-)