Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MSTARI mwembamba kati ya KUJIHESHIMU na UNAFIKI!

>> Wednesday, July 08, 2009

Ni kawaida kwa UNAFIKI kufanana na HESHIMA,...
.....kwa kuwa WANAFIKI wengi KWA UNAFIKI mpaka hudhaniwa WANAHESHIMA.

MNAFIKI hukuficha UKWELI,....
.... usijue iliumpende, umpe peremende au tu kwake uwe na HESHIMA.

AKUHESHIMUYE hukuficha KI -MILA na DESTURI yatiayo aibu ya UKWELI,...
.....au hata KUKUNYIMA kidude hata kama ANATAKA kwa kuwa eti ANAHESHIMA.


HESHIMA ni UNAFIKI kama ni ya KINAFIKI,...
.. na kuna UWAHESHIMUO kwa kuwa TU unauchanganya UNAFIKI na HESHIMA.


Swali:
  • AU?
  • Ushawahi kumpa SHIKAMOO MWALIMU ili kumuonyesha HESHIMA huku unamtukana kimoyo?
  • Kwani unaathirika kwa KUHESHIMIWA KINAFIKI kama AATHIRIKAVYO akuheshimuye KINAFIKI?
NIMEACHA wazo MKUU wa KITENGO!

Ngoje tu tena FELA KUTI amuongelee- Gentleman





Au tu namuacha Steve Wonder aongelee-Master Blaster

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 4:04 pm  

Mimi nakubaliana nawe kwa 110% ya kuwa heshima zote ni za kinafiki. Ila masuala ya kidude sijui!!

Anonymous 5:11 pm  

hivi mkuu la jumuwata ni nini?




rasta hapa

Fadhy Mtanga 8:11 am  

Anaenyima kidude kwa unafiki wakati kiukweli ana njaa dawa yake we ni kumnyima kiukweli bila unafiki.
Mkuu kwa hili wazo nakupa gwala.

Simon Kitururu 12:53 pm  

@Mkuu Chib: :-)
@Papaa Fadhy: :-)

@Rasta Luihamu: Ujumbe umefika!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP