SABABU za KUMPENDA msichana MZURI halafu unajua ni MJINGA!{Samahani : NI katika KIUME point of VYUU!:-(]
>> Monday, July 27, 2009
Mwanamke MWEREVU labda anaweza kukukumbusha MAMA YAKO!:-(
Halafu MWANAMKE mwerevu na ana MIAKILI KEDEKEDE ukileta za kuleta anaweza KUKUNYIMA na akajazia shughuli kwa kukutukania mpaka MAMA YAKO!:-(
Halafu MWANAMKE mwerevu na ana MIAKILI KEDEKEDE ukileta za kuleta anaweza KUKUNYIMA na akajazia shughuli kwa kukutukania mpaka MAMA YAKO!:-(
Swali:
- Kwani ni kweli wakati unashughulikia YA UNYUMBA wewe mwenye akili ni kweli UNAFIKIRI huwa UNATUMIA AKILI SANA?
NIMEACHA wazo !
Hebu twende tena KAMERUNI kukutana tena na Richard Bona aninyanyase tena-
Au tu tubakie tu tena KAMERUNI Manu DIbango aendeleze kuninyanyasa katika kitu-NEW BELL
ASANTENI WADAU WOTE pamoja na hawa ambao HAWAKUNITENGA juzi ya jana!:-(













































5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
kaazi kwelikweli hapa Duh!
Yayayayayayayaah! Mkuu kuna picha moja hapo kuna katukio fulani. Vipi AKILI nyingi ilitumika hapo?
Ahsante sana kwa burudani ya mapicha.
:-)
Ebwana eeh! mbna hukupiga viwalo vya ufukweni kama mwenzio?
@Mzee Ndabagoye:
Madhumuni ya barua hii ilikuwa ni kwenda baa na kwa bahati mbaya baa ya karibu iko BiCHI na mmoja wa marafiki dhumuni la barua yake ilikuwa ni kuchojoa na kuogelea!:-(
Post a Comment