Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUMA a.k.a KIDUDE kitumikacho saa nyingine ZAIDI ya KUKOJOLEA!:-(

>> Saturday, July 04, 2009








Katika PICHA HII, hiki ni kifanananisho KATIKA maswala ya KIELELEZO kama HUJUI kidude!
:-({Samahani kwa mambo ya faragha kama BINGWA umefanananisha!:-(]











Ngojea tufafanuliwe kwa UNG'ENG'E kiduuuchu,...

......katika maswala HAYA ya kuwa KUMA ni VAGINA kwa kiluguru...

..... au tupate maelezo tu KUWA hata WADUDU wana KIDUDE katika ....

The vagina (from Latin, literally "sheath" or "scabbard") is a fibromuscular tubular tract leading from the uterus to the exterior of the body in female placental mammals and marsupials, or to the cloaca in female birds, monotremes, and some reptiles. Female insects and other invertebrates also have a vagina, which is the terminal part of the oviduct. The Latinate plural (rarely used in English) is vaginae.

In common speech, the term "vagina" is often used to refer to the vulva or female genitals generally; strictly speaking, the vagina is a specific internal structure and the vulva is the exterior genitalia only.

Na..
....KWA aibu ngojea tufafanuliwe zaidi kuhusu HIKI KIFAA kifanyacho zaidi ya kukojoa hapa

NA ,...
...nisikufiche HIKI KIFAA matumizi yake yanapendwa sana na wanawake kama tu PIA wanaume INGAWA kwa wanaume MALIMBUKENI ni kawaida kukosea jinsi ya kutumia HIKI KIFAA katika kukuna MATUMIZI ya kidude kwa kusababisha MGUNO authentiki.:-(
Swali:
  • AU?
  • Unafikiri Ustadhi au Mlokole kama tu MHESHIMIWA anakumbuka kuwa KUMA ni JINA TU la ENEO kama tu KINYEO ambalo labda kuna walitumialo JINA kama tu la MDOMO kwa kumaanisha wanakula NYANYA mshumaa?
NAACHIA MAHUBIRI HAPA!
Na ni kweli naacha KUWAZA na UKIZIDISHA WAZO SHAURI ZAKO wazo likigeuka MATUSI!:-(


Unaweza kucheza Kuma games hapa lakini!:-(




AU ngojea Mbilia BEL Adai ya mshawasha ...-Phenomene



Au aongelee tu- DUKU duku...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:46 am  

Kaaaziii kwelikweli, lakini napenda uwazavyo na uandikavyo labda we ni tu mkweli sijui!!!!!

Fadhy Mtanga 1:48 pm  

Duh!
Nimeifunika hii picha sehemu ya juu, nikawaonesha rafiki zangu hapa wanambie ni kitu gani. Majibu walonipa yanaonesha dhahiri jinsi wanaume tufurahivyo tuonapo picha za nanihino.
Nami nikiendelea sana wajanja watasema ..!.TuSi..!
Nimeacha.

Simon Kitururu 9:41 am  

@Yasinta+ Papaa Fadhy: :-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP