Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Yasemekana yakizamani HUFA na WAZAMANI ndio maana YASIKUHIZI yamekaa kisikuhizi hata kiufikiriaji wa WASENGE au nini ni CHUPI!:-(!

>> Sunday, March 18, 2012

Kwa hiyo labda,...
.... kwa  TARATIBU  tu ,...
.... kama VIJANA wasasa hawavai chupi KIMAWAZO,...

..... yajayo na TAIFA la KESHO yanaweza kuwa UCHI halafu ikawa ni KAWAIDA TU!


Swali:
  • Si unakumbuka KAWAIDA  ni mchezo tu wakuzoea kitu hata kama kuzoea kwenyewe ni kule kwa mazoea ya MPENZI ananuka uchi au tu kuna JALALA linukalo mbele ya nyumba?

Ndio,..
... labda kwa TARATIBU tu,...
... wenye MAADILI ya SASA ndio WAFAO,...
.... na labda hiyo ni heri kwani kuna ambao wakifufuka LEO  watakufa leo hiihii kisa ya LEO nni kinyume cha ya wakati wanaselebuka ki-BAMPINGI!:-(

Ni wazo tu hili kimahubiri!
JUMAPILI NJEMA!


Sijui kwanini ila hebu Onyeka Onwenu arudishe- Ekwe


Esperanza Spalding atoneshe kwa- I Know You Know / Smile Like ThatTrombone Shorty arudie- Something Beautiful


Queen Ifrica ajaribu kulainisha kwa - Below the waistHalafu Kala Jeremiah azime kwa kukumbushia-WIZI MTUPU

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:37 pm  

"na labda hiyo ni heri kwani kuna ambao wakifufuka LEO watakufa leo hiihii kisa ya LEO nni kinyume cha ya wakati wanaselebuka ki-BAMPINGI!:-(" nimecheke kweli hapa hasa hili neno BAMPINGI limenikumbusha mbali sana ahsante jumapili yangu imeanza vema..nategemea nawe/nanyi pia ipo vema jumapili hii..Jumapili njema Simon/KADODA

EDNA 1:28 pm  

Jumapili njema mtu wangu.

Simon Kitururu 3:51 pm  

@Dada Yasinta: Asnate mpenzi Kadala!
@Da Edna: Asante sana MTU wangu ! Na Jumapili iwe swari kisana yani kwako pia!

Mcharia 4:59 pm  

Inasemekana kuwa “kama hujui uendako basi barabara yoyote itakufikisha”.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP