Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kuomba TITI unaweza usistukie MAKUNYANZI ya CHUCHU!

>> Friday, March 27, 2009

Katika KUOMBA,...
.... unaweza kuomba mpaka TAKO!:-(

LAKINI tako LAKO linaweza lisiwe na manufaa KAMA ya TITI ingawa huo ndio UKWELI usio tako kwa ATAKAYE kubonyeza TITI!:-(


DUH!

Kuna sababu ,...
.....na ni kawaida KUOMBA ingawa unaweza KUJISIKIA vizuri baada ya kuomba ,.....

....UKIPEWA.....

.... kwa kutumia VIGEZO a.k.a ZE vigezo VIHALALISHAVYO ni KWANINI uliomba MKEBE,.....


.... WAKATI,....


.... wakati ulitaka KIFUTIO TU kwenye MKEBE , na sasa una MKEBE wenye BIKARI na hakuna KIFUTIO kwenye mkebe.:-(

Swali:
  • Unakumbuka kuwa huhitaji kukumbushwa vigezo vya KUCHUCHUMAA KWA MZOEA CHOO CHA KUKAA kama swala ni KUNYA kwenye choo cha shimo ?
  • Unakumbuka kuwa pamoja na maringo yote ya kuchambia maji LABDA wewe ni shujaa wa KUTAWADHA kwa mchanga UKIPEWA nafasi?

Kinamna labda TUMEZALIWA na hatukuomba waliotuzaa WAJIFUNGUE sisi!:-(

Na,...
.... Maisha si ukweli kuwa ni RAHISI ingawa usijinyonge lakini kwa kudhani NI RAHISI vile kuamua kuendelea KUISHI!
Swali:
  • AU?

  • Katika kumuomba MUNGU yote hata yale ya kutaka kufuta makunyanzi ya CHUCHU, si ni KAWAIDA asilimia TISINI za tuombayo hata yasiyo na uhusiano na titi hata la kiume, si HATUJAPATA au MWENYEZI hatupi ndio maana tunaendelea KUOMBEA MPAKA chakula kilichopo mezani badala ya KUSHUKURU?
  • Hivi wanawake wanakumbuka wanaume wana CHUCHU ambazo sina uhakika wameumbwa nazo kwa sababu gani ingawa labda wewe unajua?
  • AU?

NIMEACHA!
Kumbuka NAWAZA tu na LABDA ni UJINGA!


Ngojea twende CONGO Classical Symphony Orchestra walete - Carmina Burana


Au tu Youssou Ndour na Koffi Olomide walete - Festival

Read more...

Katika KUFIKIRIA yako!

Kama YANAKUGUSA,....
.... ni YAKO.

Mwisho wa siku UKO PEKEE katika YAKO.


Na,....
.... endelea KUTUNZA yaliyo YAKO.

Ingawa , ...
.......TUNAFAIDIKA ukifaidika na YAKO.

Ukweli bado yako ni YAKO.

Daima mhusika mkuu NI WEWE katika YAKO:-(



Lakini...
.....SI ni YAKO?:-)

Unauhakika na YAKO kama huthibitishiwi ......
.....na chako KITHIBITISHO kuwa ni
...
..YAKO?

--------______________------
Swali
  • AU?
:-(







Ngojea Burning Spear atukumbushe MWALIMU wa KIAFRIKA katika - African TEACHER


AU tu JOMO KENYATTA a.k.a Burning Spear azungumzie -THIS EXPERIENCE


SAMAHANI naacha baadhi ya picha zangu na WADAU waliokuwa nami baadhi ya MAENEO juzi ya jana ya juzi:-(

Wadau NIPO lakini....!



Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket





Photobucket









Photobucket



Photobucket





Photobucket








Photobucket





Photobucket




Photobucket



Photobucket





Photobucket

Read more...

NIpo !....na kuhusu JUMUWATA!

SAMAHANI nimebanwa KISAWASAWA na haya........... , Ugonjwa PIA katikati ya yale ....., ingawa nipo!

Kuhusu JUMUWATA!

Nitapandisha KATIBA ilipofikia halafu TUTAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI WAPYA watakao iendeleza JUMUWATA kwenye hatua MPYA ili WATANZANIA tujumuike!

SAMAHANI nimepotea hapa na nilishindwa kuwasilisha mengine yote PAMOJA NA HILI!:-(

_______________________---------------------------_______________

TUlia na ORCHESTRA MAKASSY katika kibao - MKE WANGU



Au tu MARIJANI RAJABU aseme -MAYASA

Read more...

Wivu SINA , lakini sijui NAFIKIRI au NAHISI !

>> Friday, March 20, 2009

Kama unaamini huna WIVU,...
..... labda USIOMBEE kugundua GHAFLA una wivu USIJE ua MTU na BATA WAKE ghafla!


Na,..
...kila siku TUNAFIKIRI na KUHISI.....
Swali:

  • Unakumbuka kufikiria UNACHOFIKIRIA na kukumbuka ULICHOFIKIRIA jana na KUKIFIKIRIA tena leo?
  • Unakumbuka huwa HUKUMBUSHWI kuhisi?


Ukifikiria sana, LABDA unavyofikiri unavifikiria bado UNAVIHISI.

Na,...
....labda kama unafikiria HUNA wivu, basi wivu wako LABDA umelala na sina uhakika kama ni afya uuamshe udinde au tulia katika mkao huohuo wa sina WIVU ubakie umelala kwa utulivu!

Swali:
  • Au unahisije wewe baada ya kufikiria hili?

Labda kuna UKWELI kuwa ,....
...kila mtu anastaili na mkao wake wakusikilizia WIVU.

Labda kuna UKWELI kuwa,...
...kuna mwenye wivu na MKE WAKE na mwenye wivu na SEHEMU ZA SIRI za mke wake.

Na labda,...
..... wakati SHOGA anakuonea wivu , HATAKI KULA vyako, bali anataka usiwenavyo ULAVYO ili apate nafasi ya KUKUTETA kwa kisauti kisikikacho kikisema; ''Sasa tulione litaringia nini sasa hivi wakati HALINA NANIHII, lione vile mwanya kama PENGO!'', halafu wala ASIMENDEE ulichokuwa una KULA kwa rahaaaa!:-(


Swali:
  • Si unakumbuka roho ya kwanini?

SINAUSHAHIDI!

Lakini,...
... naamini unaweza UKAHISI halafu UKAFIKIRI bado unafikiri wakati UNAHISI tu utakiwacho SASA HIVI KUJUA baada ya KUFIKIRI na KUHISI.:-(
Swali:
  • AU?
NIMEACHA na WIVU SINA!

wiKIENdi njEMa!

Pumzika na Francky Vincent akizungumzia- Fruit de la passion

Bold
Au tu na Zouk Machine katika - maldon

Read more...

Katika ya KIBINADAMU!

KUNA watumiao madawa ya KULEVYA,...
.. na walao MAPARACHICHI.



KUNA walewao na DINI za KULEVYA,...
....na kwa michikichi wavimbiwa na CHIKICHI.


Katika ya BINADAMUUUU!

Mpaka ya MUNGU wafanya KIBINADAMU.


BIN-ADAMU mwenye DAMU!

Katika kuhakikisha ya MUNGU kibinadamu,...
......atetea miti akimwaga damu.


BINADAMUUU!

Hahitaji KUFUNZWA kupumua na AKIPUMUA astukia kuna damu.



BIN-ADAMU!

HUSAHAU anapumua na ana damu kama TATIZO si KUPUMUA au DAMU!



BINADAMUUU!

----------------------___________--------------------------------------
Nawaza tu Mkuu!.-(


Tutulie tena na DELINQUENT HABITS watukumbushe- Goodtimes


AU tu Delinquent Habits FT Hurricane G (bado ni enzi zile)... wazidi kutukumbusha katika -Underground Connection.[jihadhari na lugha za chooni kama msikiliza maneno]

Read more...

OMBI: Tafadhali mpigie KURA DADA YETU SANDRA!

Dada yetu SANDRA MUSHI wa SAHARA SOUL FOOD naombeni tumpeni tafu wajameni!

Soma zaidi kwa ung'eng'e.....


Please do vote for my short story – Jasmine – and ask your friends to do the same. Please go to http://www.dailywritingtips.com and vote!!!!



Meanwhile, do visit my website - www.sandrasden.com –where you will find more short stories, waiting to be published. Do visit the forum please and post your thoughts please.



Thank you and have a blessed day!!



Regards,



Sandra.

Read more...

Labda UKITEKENYEKA ulikuwa tayari KUTEKENYWA!

>> Wednesday, March 18, 2009

Hutekenyeki NG'O kama hujakaa mkao wa kusikilizia MTEKENYO!
Swali:

  • AU?
Na akupendaye...
...... ukimstukia anafurahia ukicheka AKIKUTEKENYA, unaweza kujifanya UNATEKENYEKA mpaka UKAJISTUKIA mwenyewe jinsi ulivyobarikiwa UIGIZAJI MZURI kwa kuangua kicheko mpaka UKABANJA KIDOOOGO , wakati umeguswa GOTI wakati UKWELI ni kwenye KIKWAPA , chini kidogo ya KITOVU na kwenye wigo wa KIUNO , karibu na mipaka ya shanga TU ndiko UNAKOTEKENYEKA mwanawani weye na GOTI lako linauma.


Na,...
...HAICHEKESHI kama hakuna KITU KINGINE ukijuacho kisababishacho HIKI kikuchekeshacho udhani KINACHEKESHA.


Na,...
......AKUTEKENYAYE ukacheka, kunauwezekano umemruhusu AKUGUSE MWILI na KITEKENYEO ndio maana KAKUTEKENYA ukacheka badala ya KUMPIGA NGUMI pana, KONZI la nguvu, au tu KUMPIGA NGWALA baada ya KURUKA KICHWA , na wakati UMEMPIGA ROBA ukawa unaachia MSONYO MREFU na TUSI LENYE UJAZO ambalo kama sio la nguoni lihusianalo na mama yake, basi ni lile lifananalo na ;'' Mende wee nenda katekenye kuku wenu hukohuko! Nyooo !Lione vile!''


Na,..
...AKUCHEKESHAYE bila kukugusa , kuna uwezekano UNAMSIKILIZA au KUMUANGALIA kitu ambacho siku hizi kinasahaulika duniani, mpaka imefikia siku hizi BIN-ADAMU WENGI kufikia kupeana MPAKA mimba BILA KUANGALIANA na kabla ndoa haijafa, HAWASIKILIZANI.:-(


Swali:
  • Unakumbuka ulimi pia ni kitekenyeo?

Kumbuka tu kuwa,...
...UKIJIWEKA TAYARI , kumbukumbu hata za ulivyowahi KUTEKENYWA zinaweza KUKUCHEKESHA au KUKULIZA!:-(

Na kumbuka,...
... UKITEKENYWA sana UTALIA:-(


NIMEACHA!
Kumbuka NAWAZA tu MKUU!

siKU Njema!
Tutulie na Classic Rumba kutoka kwa KEKELE akidai -DELALI


Au tu Lokassa YA MBONGO amalizie kwa- Marie JOSE

Read more...

Labda tunapoteza UBORA wa SANAA ya KUSUTA na KUPIGA MKWALA!

Unaweza KUPANDISHIWA sketi wakati UNASUTWA kwa madoido wakati unashushiwa DALILI za tusi MURWAA na adaiye anakupa UKWELI !

Lakini,...
... ni MSAMIATI na mrindimo wa jinsi upewavyo MSUTO na MKWALA ndio hukamilisha FANI katika kuchojoa ugumu wako wa kuumizwa na MSUTO hata ndani ya MKWALA.

  • Sikubishii lakini kama unaridhika na MSUTO ukibaniwa pua wakati UNASUTWA au unapenda tu kukoromewa UKIPIGWA MKWALA katika kujali kwako USIKILIVU wa MKWALA kama MKWALA!

Chakusikitisha ni,....
.... sanaa ya jinsi ya KUSUTA au KUCHIMBA MKWALA inabidi ujifunze mwenyewe.

Na....
  • Hakuna TUISHENI ya kuchimba MKWALA!:-(
  • Hakuna twisheni ya KUSUTA!:-(
.....na darasani WALIMU hakuna!:-(


Uzuri wa KUSUTWA ni uwezo wake wa kukusaidia KUMFAHAMU zaidi AKUSUTAYE hasa kwa kuwa anakuambia mpaka asiyofikiri ANAKUAMBIA, na kukufaidisha kwa KUKUKUMBUSHA kitu kuhusu WEWE MWENYEWE katika DUNIA hii tuliyofikia KUTOJALIANA na kufikia kuendekeza VITA kutokana na kutojulia kumaliza ugomvi kwa MKWALA na KUSUTA wakati amani INABOA.:-(

Swali:
  • Hivi India na Pakistani si wamesaidiwa kwa KUPIGANA mkwala ndio maana bado vita haijaanza?
  • Unafikiri kwa mkwala unaUAhamu ya vita?
  • Unataka kusema hata kama si wewe uliyesutwa au kupigwa mkwala, hujawahi kustukia ULIBURUDIKA kushuhudia hizi SANAA?

Tatizo la....
.... kuchimba MKWALA, ukikosea MSAMIATI ,flooo na kushindwa KUMTISHA mtu, mnaweza ishia KUPIGANA VITA.:-(

Swali:
  • Hivi kusutana na mkwala sio TAYARI vita?


Naacha!
NAWAZA TU Mheshimiwa!
Hebu twende Tanzania CNN wajadili miundo mbinu...

Au tu Mwanadada wa Kichaga NAKAAYA alonge---

DUH tubadili hali ya hewa kwa kumuachia Mystikal awaamrishe watu fulanni...-Shake ya ASS[tahadhari lugha chafu kama wewe ni msikilizaji wa maneno kama yule]

Read more...

Nyolinyoli! NAKUIBIA halafu SIFUNGWI!

>> Tuesday, March 17, 2009

LIONE VILE!
Linajua nilikuwa masikini!


LIONE VILE!

Linajua nina mshahara mdogo na halioni ajabu ghafla nina nyumba na magari ya kifahari yangu naniliyo mnunulia hawala yangu!


LIONE VILE!
Halafu litanipigia kura tena!:-(


LIONE vile hasa hili Litanzania!

Bingwa la kunyoshea vidole wengine wajinga na kwa amani likiendeleza ujinga!:-(

LIONE VILE ZURIIII, halafu NALIIBIA!


Wako ,
MWANASIASA -KIONGOZI.

P.S.
Naomba kura YAKO!


Swali:
  • Inawezekana sikuongelei wewe?
  • Ghafla kutajirika kihalali katika nchi tajiri kama Tanzania si inawezekana?


Ngojea BOB MARLEY azungumzie kitu katika -Running Away

Read more...

Katika SAYANSI ya KUKUBALIWA!

Si lazima uombe,....
.... lakini wahitaji KUHITAJI ili uvumiliwe na UKUBALIWE.

Unaweza kujichukulia kwa nguvu lakini,...
..... na watu wakaelewa baadaye kwanini ulijichukulia na UKAKUBALIWA.

Daima,...
....KUKUBALIWA kwako kunauhusiano na mahusiano yako ya MATAKWA yako na watu wengine.

La sivyo huhitaji KUKUBALIWA!

Na hata,...
.... katika taaluma ya kutongoza UNAHITAJi mtongozwa ili UKUBALIWE YAKO katika mtongozo.
Ila katika ,....
.. taaluma ya MAHUBIRI, ili YAKUBALIWE unahitaji kubobea kwa YASIYO YAKO UHUBIRIYO utakayo KUKUBALIWA.


Kumbuka,....

  • NI YAKO ya kutongozea UKUBALIWE!
  • NI YA WENGINE utumiayo KUHUBIRIA ukubaliwe!


Swali:
  • Katika KUKUBALIWA unafikiri wewe ni MTONGOZAJI au MHUBIRI?
Cha muhimu ni,...
.....kumbuka kukubali KUJIKUBALIA.

Wengi hata bila sababu za msingi hawata KUKUBALIA na kumbuka sababu yake kubwa ni kwamba HAWA JAMAA ni WATU bin BINADAMU.

Wasikilize lakini WAKIKUTONGOZA au KUKUHUBIRIA halafu kama unaroho nzuri WAKATALIE.

Swali:
  • AU?
  • AU unafikiri hujakubaliwa hata na MUNGU wa upendo?
NAACHA!
Tulia na Percy Sledge azungumzie jinsi mwanamme akipenda katika - When a man loves a Woman.

Read more...

Iko UCHI!

Iko WAZIWAZI!
Haijafichwa!



F
unga macho UIKODOLEE macho!
Haijafichwa




Angalia halafu TAFSIRI!
Haijafichwa!



Ikivalishwa chupi iko mbele ya MACHO ya chupi!
Haijafichwa!



Iko wazi!
Haijafichwa!



Inamaana kinamna uko uchi!
Haifichiki!




Kumbuka hata kila nyani ana uchi!
Hajaficha!




Kwa MAAJABU kunaaringiaye wake uchi!
Kaficha!




Na pamoja na elimu dunia kuweka UJINGA uchi!
Inafichika!




Elimu bado yavalisha UJINGA chupi!
Imefichika!



Kama umeelimika ya uchi wayaona uchi?
Usifiche!

NIMEACHA!
Nawaza tu mkuu!
Swali:
  • Unakumbuka chini ya nguo uko uchi?


Tubadili hali ya hewa kwa kumsikiliza ASHANTI katika -Foolish


AU tubadili zaidi hali ya hewa kwa kuwasikiliza STILL COOL katika..-To be poor is a crime

Read more...

Kwa wapenzi wa nyimbo za YESU au ajulikanaye PIA mtaani kama NABII ISSA!

A quick note to mention that this site allows you to download 5 worship songs now and get New Worship every single month (at No-Cost)

Simply click below to find out more:
uneditedworship.com

Blessings,
Maduhu


Asante Jumanne Maduhu!

Read more...

JINSI ya kupotea KIMARIDADI!

>> Monday, March 16, 2009

Jifanye unajua uendapo KIMARIDADI!

Jifanye unajua usiyojua KIMARIDADI!

Dharau ushauriwayo na wanaojua KIMARIDADI!

JIFANYE!


POTEA!


SI wewe ni MARIDADI?

Labda nimepotea na wewe bado ni MARIDADI!

Au umepotea na niko kimya KIMARIDADI!


Maridadi profesa wa ya kupotea KIMARIDADI!:-(

MARIDADI!


---------------__________________------------------------

NIMEACHA na kumbuka NAWAZA tu hapa na siKU NJema!

Swali:
  • Unafikiri nimepotea?
  • Unauhakika hujapotea wee maridadi?

Bwana asifiwe!


Ngojea Nyerere azungumzie kitu.......kwa hisani ya SafiriSafari


Au tu Jimi Hendrix abadili mudi katika-All along the watch tower.

Read more...

SAMAHANI!

LABDA nimekosea badala ya KUPATIA!:-(

KWA kufanya labda NINAHATIA!

KWA ujinga , werevu kiuno mauno HAKIJANIKATIKIA!


KWA ujinga naona NAPATIA!




KWA werevu wajua ni ujinga NINAPATIA!

NA kujitetea kwangu kwa ya ujinga ni HATIA!

NISAMEHE kama NINAHATIA!

INGAWA samahani yaweza geuka mazoea kwa mwenye HATIA!


SAMAHANI!


--------------______________________------------------------------


Swali:

  • Hivi unahitaji kufikiria jinsi ya kuomba msamaha kama unahatia?


Pumzika kwa kuangalia tofauti ya WANAWAKE na WENYEUUME.....



Au tu Teitur aimbe - Louis Louis

Read more...

SITAKI kufumba macho NISIJE kukuona uko UCHI bure!:-(

>> Sunday, March 15, 2009

KATIKA...
... IMAJINESHENI za NCHI NZURI, unaweza kumuona MPAKA MWANAMKE mzuri wa KIAFGANISTANI mwenye USHUNGI na kusahau utajiri wake wa TITI KUBWA lenye CHUCHU PANA.


Na,...
.... kwa mpenda sana matako KUNA uwezekano asigundue UMEPAKA WANJA na unakucha ndefu kwenye vidole shujaa hata katika kushikilia NANIHII.:-(


Swali:

  • Unauhakika TANZANIA ni nzuri kuliko NAIROBI?
Na,...
....wakati tuko KIGOMA kumbuka ukifumba macho unaweza KUAMINI uko DAR-es-SALAAM.

Swali:

  • AU?

NIMEACHA!

Ngojea tupumzike kwa kumsikiliza TITI kutoka Senegal...


Au tu Koffi Olomide aongee kichina kwa waswahili wasiojua kifaransa katika...- Ultimatum

Read more...

RAIS yupo USIJAMBE!

Labda,...
....HESHIMA ni kwenda KINYUME au nyuma na utakavyo kwenda mbele AU vya MBELE.

Ingawa,...
.... siongelei KIJAMBO cha mbele sasa hivi hapa ,...

...ILA....
kunauwezekano kuwa KWA heshima unajizuia kujamba kwa KUTUNZA heshima ya visivyo hitaji kuwa na UHUSIANO na NENO HESHIMA mbele KWA MBELE.


NI...
... aibu wakati VYA AIBU haionekani VINATIA aibu KWA sababu TU wenye HESHIMA NA AIBU wanavipa KIPAUMBELE visivyo stahili heshima KWA HESHIMA na aibu.

Swali:
  • AU?

  • Unauhakika unamheshimu RAIS wakati yeye pia anajamba AU huna uhakika labda sasa hivi kajamba kiheshima na SI aibu?
  • Unauhakika kujamba ni KITENDO au labda kuona aibu kwa kujamba HADHARANI au kisiri ndio KITENDO cha AIBU?

KWA heshima naacha hii topiki AMBAYO LABDA NI YA KIJINGA KAMA UNAUHAKIKA, ingawa labda haijanishinda BILA AIBU!


JUMATISA njema!

Hivi leo kunauwezekano sio jumamosi au ngojea nirudie kukuuliza kwa kisauti....





Au nikukumbushe TENA kawimbo...




Au tu...




Kuna adaio aliye kwenye PICHA kuwa nilikuwaPOA ZAIDI miaka fulani ILIYOPITA wakati wa picha hizi BAADA ya hii sentensi ya KIJINGA, ingawa najaribu kujitetea sijabadilika bado ingawa siku hizi ni kweli nataka kumpa mimba mtu kama kuna mwenye huruma bila kumpiga PICHA :-(










































































































































































































































































Ngojea I-Wayne anikumbushe katika - Cant SATISFY her


Au turudi tu tena nyumbani kwa ALI KIBA azungumzie- NAKSH naksh MREMBO...

Read more...

Jamani JAMANI shemeji KULA jamani![sentensi hii imebaniwa pua]:-(

>> Saturday, March 14, 2009

Kabla WIFI hajala,.....

Swali:

  • Unakumbuka uwezekano wa asiye wako ni SHEMEJI yako?

Pamoja na ya NDUGU na JAMAA,...
.....labda.....
ni kweli binadamu wote ni NDUGU.


Kumbuka lakini kuwa WIFI haitwi wifi tu bila ukweli kuwa wamuitao wifi wanajua au kuhisi kuna kitu wasichoonja ANAKULA.



Na,...
....ni kweli SI lazima wakati
....SHEMEJI....
hajala, kuna ukweli SHEMEJI alitaka KULA.


Swali:

  • AU?

  • Unauhakika katika dunia ya leo ni kweli wifi ni MWANAMKE?

Nimeacha!
WikiENDI NJema!

Tupumzike kwa kuthibitishiwa kuwa RAIS KIBAKI ana mke mmoja.


Au tu Q-Tip na kundi zima la Tribe called Quest watuulize -Can i KICK IT

Au tu watukumbushe -We've got the JAZZ


Asanteni WADAU wote ambao hamkunitenga juzi ya jana ambao baadhi ni hawa katika picha nilizofanikiwa kuzidaka na kudakwa...



Photobucket



Photobucket

Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket

Papaa Aliko Mwakanjuki a.k.a Dj Altunes ASANTE!

Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP