Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI!

>> Monday, March 16, 2009

LABDA nimekosea badala ya KUPATIA!:-(

KWA kufanya labda NINAHATIA!

KWA ujinga , werevu kiuno mauno HAKIJANIKATIKIA!


KWA ujinga naona NAPATIA!




KWA werevu wajua ni ujinga NINAPATIA!

NA kujitetea kwangu kwa ya ujinga ni HATIA!

NISAMEHE kama NINAHATIA!

INGAWA samahani yaweza geuka mazoea kwa mwenye HATIA!


SAMAHANI!


--------------______________________------------------------------


Swali:

  • Hivi unahitaji kufikiria jinsi ya kuomba msamaha kama unahatia?


Pumzika kwa kuangalia tofauti ya WANAWAKE na WENYEUUME.....



Au tu Teitur aimbe - Louis Louis

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP