Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jamani JAMANI shemeji KULA jamani![sentensi hii imebaniwa pua]:-(

>> Saturday, March 14, 2009

Kabla WIFI hajala,.....

Swali:

  • Unakumbuka uwezekano wa asiye wako ni SHEMEJI yako?

Pamoja na ya NDUGU na JAMAA,...
.....labda.....
ni kweli binadamu wote ni NDUGU.


Kumbuka lakini kuwa WIFI haitwi wifi tu bila ukweli kuwa wamuitao wifi wanajua au kuhisi kuna kitu wasichoonja ANAKULA.



Na,...
....ni kweli SI lazima wakati
....SHEMEJI....
hajala, kuna ukweli SHEMEJI alitaka KULA.


Swali:

  • AU?

  • Unauhakika katika dunia ya leo ni kweli wifi ni MWANAMKE?

Nimeacha!
WikiENDI NJema!

Tupumzike kwa kuthibitishiwa kuwa RAIS KIBAKI ana mke mmoja.


Au tu Q-Tip na kundi zima la Tribe called Quest watuulize -Can i KICK IT

Au tu watukumbushe -We've got the JAZZ


Asanteni WADAU wote ambao hamkunitenga juzi ya jana ambao baadhi ni hawa katika picha nilizofanikiwa kuzidaka na kudakwa...



Photobucket



Photobucket

Photobucket


Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket



Photobucket

Photobucket



Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket


Photobucket

Photobucket

Papaa Aliko Mwakanjuki a.k.a Dj Altunes ASANTE!

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:48 pm  

Simon una mambo, unajua pia shemeji anaweza kula kuku na mayai yake. Vp hizo bia hatukaribishani?:-(

Simon Kitururu 1:09 pm  

@Yasinta: DUH! Wengine siye watoto kujua:-)

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 3:17 pm  

ysinta unamaana gani ikizingatiwa wewe umeolewa! labda utupe unzoefu.

shemeji shemeji, acha kuzima taa!
eh niwashe ya kijani aunyekundu?
shemeji shemeji, acha kuzima taas

Simon Kitururu 2:09 pm  

@Mzee Kamala:Umegundua Dada Yasinta bado hajakujibu?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP