Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TUKANA katika staili ya kujaribu KUEPUSHA usistukiwe huna HOJA!:-(

>> Thursday, March 05, 2009

Kama unajulia , kuna ambao HAWATASTUKIA!

Na,..
... kama unajua kutoa HOJA wakati UNAHASIRA, basi wewe BINGWA.



UKIKASIRIKA usipoangalia BADALA ya kueleza unaweza kujikuta UNAJIELEZEA.

Swali:

  • Ushawahi KUJISIKIA kutukana kwa kukosa NGUVU ya hoja?
  • Hivi tusi sio HOJA?


HONGERA!


Naacha!
Nipo lakini!:-(
Photobucket
Au ngojea nijaribu tena kusema....


Au tu Eddy Grant azungumzie - Killer On The Rampage

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:08 pm  

Simon nimefurahi sana kuisikia sauti yako ukilalamika baridi kazi kweli kweli. Sikujua upo kwenye you Tube pia

Simon Kitururu 2:44 pm  

@Yasinta: Nipo Dada yangu!Kazi kwelikweli!

Yasinta Ngonyani 3:34 pm  

naona ila kweli kutafuta maisha ni kazi kweli kweli yaani baridi hii mmhh

Anonymous 7:01 am  

mkuu Simon,
unajuwa ni miaka miwili sasa JUMUWATA haijulikani ina kwenda wapi....
mkuu tufanye nini?

Rasta hapa.

Simon Kitururu 11:24 am  

@Kweli kabisa Rasta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP