Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

JINSI ya kupotea KIMARIDADI!

>> Monday, March 16, 2009

Jifanye unajua uendapo KIMARIDADI!

Jifanye unajua usiyojua KIMARIDADI!

Dharau ushauriwayo na wanaojua KIMARIDADI!

JIFANYE!


POTEA!


SI wewe ni MARIDADI?

Labda nimepotea na wewe bado ni MARIDADI!

Au umepotea na niko kimya KIMARIDADI!


Maridadi profesa wa ya kupotea KIMARIDADI!:-(

MARIDADI!


---------------__________________------------------------

NIMEACHA na kumbuka NAWAZA tu hapa na siKU NJema!

Swali:
  • Unafikiri nimepotea?
  • Unauhakika hujapotea wee maridadi?

Bwana asifiwe!


Ngojea Nyerere azungumzie kitu.......kwa hisani ya SafiriSafari


Au tu Jimi Hendrix abadili mudi katika-All along the watch tower.

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:40 am  

haya Simon endelea kuwaza, kazi kwelikweli

nyahbingi worrior. 12:02 pm  

amani mkuu.

naona mabadiliko kule jumuwata.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP