Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Natafuta SHUGA MAMA mdogo-MKUBWA ninywee BILAURI ya kwenye GLASI!

>> Friday, March 06, 2009

Mama SUKARI ,...
...lete ASALI!



MAMA tamutamu mwenye ASKARI,...
.....najua ushapitia na unajua machungu, tufurahi kwa kuonja ACHALI.



NATAFUTA ya futari,...
... wajua kwa AFUNGAE tamu si pekee ASALI.



WENYE kelele wanatafuta GARI,....
.... mie nitaridhika na mzoefu wa kubinuka akinipa hata kwa kulala CHALI.



WADOGO wasio shuga mama kwenye sinia kubwa la KACHUMBARI,...
...wanajiamini kwa kisimi kikubwa MADHABAHUNI na kufikiri sala zitafika kwakua TUNASALI.



WAZEE walio shuga mama kwenye SAFARI,...
...kutoka Nairobi kwenda HUNGARY, naogopa twawezaishia MALI.



NA magugu ni kitanda cha NGIRI,...
....na kwa ajuaye ajua meno kama ngiri , kwa ngiri ni urembo kama BANGILI.



SHUGA mama mzoefu wa alichokula JUMA na alacho BAKARI,....
.... nimatumaini yangu utanilisha cha Serina , Asha , Rose kwa uzoefu wakati ukinijulia HALI.



SHUGA mama ukinifikisha usije shangaa nikitaka kutoa MAHARI,....
.... unajua safari zetu siku hizi hata kwa TREKTA bado matope mengi na hatufiki MBALI.



Ni kweli kama tamu nitataka yote KACHUMBARI,...
..... katika uadimu wa nyanya ndogo ZENYE MAKUBWA ,zikifikia mzani nisamehe kwa ULAFI katika hii HALI.

------------------------------------------------------------------------------------

Nimeacha!
NAWAZA tu MKUU!

Swali:
  • Ushawahi kukutana na adaiye ana uzoefu wa siasa wakati hapatii siasa?
  • Ushawahi kukutana na shuga mama asiye mzoefu?



Turudi tena CUBA kwa Buena Vista Social Club katika kitu - Chan Chan

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP