Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

GHAFLA MTOTO kagundua kaota MAVUZI!

>> Sunday, March 08, 2009

GHAFLA mtoto ushahidi anao KAKUA,...
... na aweza kudhani ni wakati wakumbishia mvuvi UVUVI, kakua.



CHUCHU imenenepa KAKUA,...
... na aweza sahau walio na mvi chini ya kalikiti bado WANAMVI na walikua.


NI safari KUKUA,...
.... inataka muda kukua na ya miaka yataka miaka hata vile kama hutaki vile HIVI, utakua.

KUA mwanawane KUA,...
.... kama na una mavuzi usiwe na wasiwasi, SUBIRI yatapata MVI mavuzi ukikua hata bila MVI ukikua.

Ingawa mvi si kukua,...
....labda wahitaji ujue wapi pamenyolewa ingawa ni kipara UGUSACHO na unadhani hakina MVI hujakua.

--------------------------------------------------------------------

NAACHA!
Swali:
  • AU?
  • Unauhakika umekua?
  • Unauhakika unajua?
Twende tena SENEGAL kupata- bes bi sa bessa katika miondoko ya muziki aina ya Mbalakh




Au tu Gregory Isaacs katika - Rough Neck

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:19 am  

Simon kazi kweli kweli jpili njema bwana labda tutaonana kikaoni:-)

Simon Kitururu 4:50 pm  
This comment has been removed by the author.
Simon Kitururu 4:50 pm  

Tutafutane baadaye Dada yasinta!

Anonymous 8:49 am  

ulichozungumzia hapo labda we refer it to JUMUWATA.


RASTA HAPA.

Simon Kitururu 3:48 pm  

@Rasta: Papaa Rasta nafanyiakazi hiyo kitu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP