Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Iko UCHI!

>> Tuesday, March 17, 2009

Iko WAZIWAZI!
Haijafichwa!



F
unga macho UIKODOLEE macho!
Haijafichwa




Angalia halafu TAFSIRI!
Haijafichwa!



Ikivalishwa chupi iko mbele ya MACHO ya chupi!
Haijafichwa!



Iko wazi!
Haijafichwa!



Inamaana kinamna uko uchi!
Haifichiki!




Kumbuka hata kila nyani ana uchi!
Hajaficha!




Kwa MAAJABU kunaaringiaye wake uchi!
Kaficha!




Na pamoja na elimu dunia kuweka UJINGA uchi!
Inafichika!




Elimu bado yavalisha UJINGA chupi!
Imefichika!



Kama umeelimika ya uchi wayaona uchi?
Usifiche!

NIMEACHA!
Nawaza tu mkuu!
Swali:
  • Unakumbuka chini ya nguo uko uchi?


Tubadili hali ya hewa kwa kumsikiliza ASHANTI katika -Foolish


AU tubadili zaidi hali ya hewa kwa kuwasikiliza STILL COOL katika..-To be poor is a crime

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP