Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HALELUYAH labda MWANAMPOTEVU hajapotea!

>> Tuesday, March 10, 2009

Swali:

  • Kama dunia yenyewe imepotea si labda mwanampotevu anapatia kwa UDHANIAYO ni kupotea?
  • Kama dunia inapatia unafikiri una ndoto za mbinguni za nini?

BAADAYE!
Swali:
  • AU?

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Koero Mkundi 5:09 am  

Kaka Kitururu,

Mwana mpotevu akirudi kundini huchinjiwa hata Jogoo.
Kwa hiyo kupotea ni kuzuri.

Anonymous 9:54 am  

Utakuwaje mwana mpotevu halafu tena uchinjiwe kuku?Atachinjiwa vp kuku wakati mwana kapotea?.Ikiwa mwana aliondoka kwa muda mrefu na hakuaga aendako na sasa karejea,huyo ni kwamba hakupotea bali alikuwa mahali.Hivi ni kweli kuwa watu au vitu hupotea?

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 10:03 am  

hakuna kupotea wala nini ndio maana mpaka leo jizazi haonekani lakini wapo waaminio yumo katikati yao. hatupotei kamwe kwani njia zote ni sahihi kama unaona yakufaa kufuata.

NB dini zenyewe zimepotea!!!!!!!!!!!!!!!!

Anonymous 1:18 pm  

Jizazi hawezi akarudi Kamala,arudi kufanya nini wakati alishawaeleza wafuasi wake kuwa"Utukufu wa Mungu upo mioyoni mwao"?

Koero Mkundi 1:53 pm  

JESUS WILL BE BACK SOON!!!!
HALLELUJAH!!!!!!!

HATA MIMI BADO NAMSUBIRI..........

MWANA MPOTEVU NINAYEMJUA NI YULE WA KWENYE BIBLIA HATA DADA YASINTA ALIWAHI KUMUELEZEA WAKATI FULANI, JAMANI KAMALA NA KATAWA MSIPOTOSHE MAANDIKO MATAKATIFU YA BIBLIA.

KWANI KILA AAMINIYE ATAUONA UFALME WA MBINGUNI.....!!!!!!!???????

KAMALA UPOOOOOO......

Yasinta Ngonyani 2:23 pm  

Nami namuunga mkono Koero YESU ATARUDI TENA NA ATAWAOKOA WATU WOTE wamwaminiye na wasiye

Simon Kitururu 2:25 pm  

@Wote: DUH!

Anonymous 3:08 pm  

Koero,maandiko matakatifu yakoje na ni nani aliyeyaandika?.Je aliyeandika naye ni mtakatifu?
Ufalme wa mbinguni ni upi unaousubiri?.Ule aliousema Jizazi kuwa upo moyoni mwako haukubaliani naye?
Koero na Yasinta hamtauona ufalme wa Mungu kama hamtakuwa na akili inayofanana na ya mtoto mdogo.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP