Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MBOLEA!

>> Wednesday, March 11, 2009

Labda ukiinusa inanuka,...
..... na ukiilamba ni SUMU.


Mimea huhitajika,....
....kwa mbolea kujisikia ina maana na si SUMU.


Akili zako hazina mpango kama mbolea zisipotumika,...
.... kama hazitumiki kumea hata kama mmea hauhitaji SUMU.


Na kama UBONGO usiotumika,...
....mbolea isiyotumika ni SUMU.


Mbolea!

.....labda UKIINUSA inanuka,....
.......................na ukiilamba ni SUMU.

Hata kama inatumika,....
.....ukiizidisha bado ni SUMU:-(

-----------------------------------------________________--------------

Nawaza tu usitishike!

Siku Njema!

Tutulie na kazi za mwanamuziki nipendaye kazi zake tokea enzi za Tony Toni Tone, Lucy Pearl na hata akiwa solo kwa jina Raphael Saadiq.
Hapa nimuache Raphael Saadiq,akiwa na Ali Shaheed Muhammad na Dawn Robinson.
katika...kibao....-without U

Au tu niiache kazi yake nyingine akiwa katika Lucy Pearl , kibao cha akinadada kusutana- Don't Mess With My Man

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:20 pm  

Kaka Simon hiyo kali, Ama kweli kazi kwelikweli kakangu

Christian Bwaya 2:40 pm  

Simon napenda falsafa zako. Maswali unayouliza yanafikirisha kwa kila anayependa kukwepa uvivu wa fikra.

Koero Mkundi 6:27 pm  

Sina la Kusema......

Simon Kitururu 7:47 am  

@ Wote :Asanteni !

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP