Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika ya KIBINADAMU!

>> Friday, March 20, 2009

KUNA watumiao madawa ya KULEVYA,...
.. na walao MAPARACHICHI.



KUNA walewao na DINI za KULEVYA,...
....na kwa michikichi wavimbiwa na CHIKICHI.


Katika ya BINADAMUUUU!

Mpaka ya MUNGU wafanya KIBINADAMU.


BIN-ADAMU mwenye DAMU!

Katika kuhakikisha ya MUNGU kibinadamu,...
......atetea miti akimwaga damu.


BINADAMUUU!

Hahitaji KUFUNZWA kupumua na AKIPUMUA astukia kuna damu.



BIN-ADAMU!

HUSAHAU anapumua na ana damu kama TATIZO si KUPUMUA au DAMU!



BINADAMUUU!

----------------------___________--------------------------------------
Nawaza tu Mkuu!.-(


Tutulie tena na DELINQUENT HABITS watukumbushe- Goodtimes


AU tu Delinquent Habits FT Hurricane G (bado ni enzi zile)... wazidi kutukumbusha katika -Underground Connection.[jihadhari na lugha za chooni kama msikiliza maneno]

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP