Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika KUTETEA SURA nzuri isiyo na CHUNUSI isiyokumbukwa SURA!

>> Thursday, March 12, 2009

Kumbuka....
...... hata kinyeo kina SURA wakati unafikiria SURA.

Na kwa kuangalia picha kubwa unaweza usiione SURA YA CHUNUSI kwenye SURA.

Lakini,...
.... SURA yenye chunusi .....

.....BADO ....
INAchunusi HATA kama AJALIYE MADOGO kwenye USO haoni ndita za chunusi kwenye SURA.

Unaweza kutetea uso kwa kusisitizia udhaifu wa kudumu kwa CHUNUSI kwenye SURA lakini!:-(

Kumbuka tu kutosahau kuwa,....
.... CHUNUSI nayo ina SURA.

Na,...
.. uso mzuri labda ulikuwa na CHUNUSI yenye SURA NZURI tu!:-(

Swali:
  • Ushawahi kujiuliza ugumu wa kutunza chunusi ibakie usoni?
----------___________________-----------------------------------

Nimeacha!
Kumbuka nawaza tu!


Ngojea Naughty by Nature watukumbushe- OPP

Au tu Fresh Jumbe aturudishe nyumbani katika -AMA ZAKE AMA ZANGU

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:39 pm  

ha ha ha ha ha Simon hapa kazi ipo. Maana mmh basi bwana

Anonymous 9:25 am  

We acha tu huyu Jumbe sikawaacha hoi wa Japan maana vitu vile si vya kawaida, Wamejionea wajapan maajabu wao hawana kabisa kama vile wamepigwa basi yani, Haya yetu macho tu.

Simon Kitururu 7:45 am  

@Dada Yasinta: Duh!
@Mzee wa Taratibu:Inasemekana waliopigwa pasi kuna vitu unaweza kufikia zaidi bila kujishughulisha sana lakini!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP